Mkuu naziona Sony Wireless Microphone zinauzwa dola zaidi ya 85 huko ughaibuni, sawa na Tsh 200,000/=. Tupe siri ya wewe kuuza 40,000/=. Samahani lakini.