Aisee Mpo vizuri sana.
Hivi ndio wajasiriamali wanatakiwa kuwa.
Umeweka Tangazo vizuri
Ila nakushauri pia tengeneza website,unajua dunia inaenda kisasa zaidi.Usijione ni mdogo kibiashara,unaweza kuwa mdogo ukakimbiza wakubwa.
Milard Ayo,alikuwa bwana mdogo sana,na aliwahi kuishi hapa Zanzibar,ila alikuwa anajituma na kujua anataka nini kwenye tasnia ya Habari pale ZBC,leo hii anakimbizana na wakubwa wenye kumzidi pesa na Elim.Ila yeye anapambana kwa kwenye ubora wa kazi na wepesi wa habari zaidi ikiwemo kujituma.
Mungu akubariki