Habari Zenu??smart phone inauzwa Ni ITEL ipo vizuri kabisa Bei ni Tsh 150,000/=ila maelewano yapo kidogo.Una ruhusiwa kuijariibu siku ya kuifata, Kama upo tayari ni pm direct.nipo DSM.

Dada yangu kweli uko serious hizi simu dukani ni 115000 tena sijui kwa sasa zimepungua mpaka bei maana used mpaka 40,000 kupatana zipo.Haya dada kila la kheri.