Namimi nimeingizwa mkenge na jamaa kuja kufungua thread yake haraka nione hiyo brand ya skype, lol ndo nakuta kumbe yeye ndo anahitaji! Pamba....fuuUuuuuuuuuuuu!
Nunua simu inayotumia android OS yoyote na utainstall hiyo application for free, hapo unaweza piga simu na mambo mengine yote, lakini hakikisha mahalii ulipo unapata 3G ili ku-improve sound quality.ila skype credit inajitegemea!