Simu ya ukweli htc dream t-mobile g1 for sale.....

Mkuu kitu cha long kidogo hicho...chukua 150k tsh.
 
Track ball huwa inazingua sana ndo maana za siku hizi hawaweki trackball ....
 
Mkuu kitu cha long kidogo hicho...chukua 150k tsh.
Mkuu kwa hali ya kawaida do u think 150k ni reasonable price kwa simu kama hii, je zipo simu zenye 3G, wifi na GPS zinazouzwa hata kwa laki 2?
 

Samahani Nje ya Mada,
Faiza Foxy ni ndugu yako?!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…