SIMU NAUZA WADAU

Pranzou jr

Member
Joined
May 28, 2019
Posts
51
Reaction score
54
Simu hii SAMSUNG GALAXY A10
Iko sokoni ina siku 4 tangu niinunue wadau, nimepatwa na tatizo ghafla mkoani.
Bei 280k
Iko dar

Simu 0755102030
 
Mkuu hii simu yako inaitwa Samsung Galaxy A10 Pro na sio A10 plain kwa hiyo badili hapo unawachanganganya

Kitu cha pili tusaidie simu yako wewe ulinunua wapi na kwa bei gani?Ukiangalia specs za hiyo simu na bei yako naona unauza kwa bei ndogo sana je umenunua bei gani na wapi?

Hisia zangu zinanituma hiyo ngoma ni clone kwa hiyo mnunuaji uwe makini kuicheck

Lengo si kukuharibia biashara ila ni kukumbushana ili tusjeumizana wanaJF
 

Mkuu hebu naomba tofauti ya clone na OG kwa Galaxy A30 nilienda Kariakoo juzi nikashindwa kuelewa nikaacha kununua.
 
Sidhani kama kuna simu inaitwa Samsung Galaxy A10 Pro.

Pili Samsung Galaxy A10 bei yake ni 250,000 hadi 300,000. Ukiuziwa zaidi ya hapo umeibiwa.
 
Hakuna simu inayoitwa Galaxy A10 pro, na hizo simu za Galaxy A series mpya (A10, A20,A30 n.k) zmetoka juzi tu kuanzia february hadi june. ( sidhan km kopi zipo tayari) . Hiyo A10 kuuzwa 280 ni sahihi kabisa, kuna rafiki angu kanunua dukani 320, inauzwa bei ndogo sabab ya kioo chake siyo Super Amoled km kawaida ya Samsung, sijamtetea muuzaji ila nmeeleza nnachokifaham maana me ni mfuasi wa Samsung so ukipigwa me simo.
 
Halafu bado kuna mtu atanunua tecno.
 

Mkuu nawezaje kujua tofauti kati ya clone na OG kwa huu mzigo mpya wa A-series 10,20,30...

Thanks In Advance.
 




Sio lazma ila hio hapo Tanzania huipati

Bado mpya
Bei imepanda
480k
Ukitaka njoo na pesa yako
 
Mwenye mali katulia na mali yake

Ww leta pesa chukua mzigo
480k
 
Ipo. Hiyo ni A 10 pro.
Kioo chake sio infinity.
hebu google utaona imetoka 2018 sijui ilikwama wapi kufika bongo.
Ila A10 plain(infinity display)
ni simu ya bei nafuu na ni tamu balaaaaa.
 
Wenye tecno nunueni samsung,
Nani ajuaye kesho? huenda rambo zikiisha itakuja kampeni ya kuteketeza tecno zote.
 
vivo x21
display 6.3*gollila 3
ram 6gb
rom 128gb
fingerprint
face unlocker
dual camera 12mp/5mp
selfie 12mp
android 9
bei 400k

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…