Jeitakuajejaji
Senior Member
- Mar 18, 2010
- 176
- 395
Kasema 2 years??Waranty ya mda gani?
Haha haha hapo kwenye note 7 umetisha mkuuKasema 2 years??
Note 7 bei gani.!
Nipo beib.Beib nimemiss masikio yako
HahaahHaha haha hapo kwenye note 7 umetisha mkuu
BureeeeeeeKasema 2 years??
Note 7 bei gani.!
Vyote kwa pamoja hatuelewi lugha pia ni wabishiSamsung wamesema Note 7 zote zirudishwe kiwandani na wanarudisha pesa yako. Wamekataza zisiuzwe wala kutumiwa.
Watanzania sijui hawaelewi lugha? Au ubishi!
Ilete Na fire extinguisherBureeeeeee
Vyote kwa pamoja hatuelewi lugha pia ni wabishi
Hahahahaaaaaa katavi we n mkaliIlete Na fire extinguisher
Haha haha hapo kwenye note 7 umetisha mkuu
2yearsWaranty ya mda gani?
HatunaKasema 2 years??
Note 7 bei gani.!
Sina uhakika hata kama kuna waliokuwa wamenunua tayari kwani zilianza kusumbua soon baada ya kuingia sokoni nadhani watu wengi wa ulimwengu wa tatu walikuwa katika maandalizi yakuanza kuzinunua ndio yakaanza kutokea hayo yanayotokea
Brand New Samsung Galaxy-Gold Color Note 5..2years warrantNote 5 bei gani?