Singasinga JF-Expert Member Joined Aug 27, 2011 Posts 2,741 Reaction score 3,316 Sep 11, 2012 #1 Nokia e51 inauzwa sh80000 mie niko mwanza kwa atakayekua tayari anicheki kupitia 0764339400. Karibuni
Nokia e51 inauzwa sh80000 mie niko mwanza kwa atakayekua tayari anicheki kupitia 0764339400. Karibuni
G.T.L JF-Expert Member Joined Jul 15, 2012 Posts 1,754 Reaction score 4,016 Sep 11, 2012 #2 Taja sifa za hiyo cm ikibidi ipige picha afu ui2pie humu JF ili 2hamasike coz saiv kuna cm za kila aina kitaani.
Taja sifa za hiyo cm ikibidi ipige picha afu ui2pie humu JF ili 2hamasike coz saiv kuna cm za kila aina kitaani.
Mulangila Mukuru JF-Expert Member Joined Feb 24, 2010 Posts 1,945 Reaction score 729 Sep 11, 2012 #3 yaani hii ndo simu ya laki nane au nimeona vibaya
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,549 Sep 11, 2012 #4 Muangila said: yaani hii ndo simu ya laki nane au nimeona vibaya Click to expand... nadhani umeona vibaya,angalia upya hizo tarakimu
Muangila said: yaani hii ndo simu ya laki nane au nimeona vibaya Click to expand... nadhani umeona vibaya,angalia upya hizo tarakimu
mpenda pombe JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 1,410 Reaction score 722 Sep 11, 2012 #5 jonal rashidi said: Nokia e51 inauzwa sh80000 mie niko mwanza kwa atakayekua tayari anicheki kupitia 0764339400. Karibuni Click to expand... me nipo Dar mkuu, nitaipataje?
jonal rashidi said: Nokia e51 inauzwa sh80000 mie niko mwanza kwa atakayekua tayari anicheki kupitia 0764339400. Karibuni Click to expand... me nipo Dar mkuu, nitaipataje?
chrisman49 JF-Expert Member Joined Jun 20, 2011 Posts 352 Reaction score 77 Sep 11, 2012 #6 jonal rashidi said: Nokia e51 inauzwa sh80000 mie niko mwanza kwa atakayekua tayari anicheki kupitia 0764339400. Karibuni Click to expand... me ntalipa!!sasa nko dar,embu ni pm!
jonal rashidi said: Nokia e51 inauzwa sh80000 mie niko mwanza kwa atakayekua tayari anicheki kupitia 0764339400. Karibuni Click to expand... me ntalipa!!sasa nko dar,embu ni pm!
Singasinga JF-Expert Member Joined Aug 27, 2011 Posts 2,741 Reaction score 3,316 Sep 12, 2012 Thread starter #7 Kama ungependa kujua sifa zake waweza igoogle kwa kuandika nokia e51 utaicheki