Sema basi umeipataje?NAMSHUKURU MUNGU SANA NA PIA ASANTEH WOTE KWA USIRIKIANO. NIMEIPATA SIMU YANGU MUDA HUU . SAA KUMI NA MBILI NA DAKIKA 11.
Nimechukua laptop ya Apple kwa best yangu hapa then tukaingia find my iphone kisha akafungua icloud na ku login kwenye ID yangu... then tukaona last location ya simu ilipo. Then nikaweka na Imei number ya simu pia.... kwa phonw finder nikaiona ilipo so. Nilichofanya ni kuchukua polisi na kuenda nao eneo simu ilipo kwa kufuata location.Sema basi umeipataje?
Nashukuru kwa ufafanuzi mzuri kabisa.Nimechukua laptop ya Apple kwa best yangu hapa then tukaingia find my iphone kisha akafungua icloud na ku login kwenye ID yangu... then tukaona last location ya simu ilipo. Then nikaweka na Imei number ya simu pia.... kwa phonw finder nikaiona ilipo so. Nilichofanya ni kuchukua polisi na kuenda nao eneo simu ilipo kwa kufuata location.