Shule inauzwa

Kama unauza kwa ssbabu mnspata hasara.. je mnunuzi mtamshaurije anunue na apate faida? Yaani isitokee kuwa ilivyo sasa.. mna mipango ya kushauri ktk uendelezaji wa hiyo shule au?
Mkuu hatujasema kama tunapata hasara
Atakae nunua tutamshauri yeye namna ya kuendesha shule wakati tunamuuzia. Akisha nunua inabidi ajiandae kusimama kwa miguu yake mwenyewe.
 
Mkuu ni bora mkabadili badala ya kua shule ikawa chuo
 
Shule ya msingi au sekondari?
 
Hivi vyuo vinavyotoa kozi za ufundi stadi au kama mpo vizuri mnaenda nacte ukizingatia wanafunzi wengi hua hawafaulu form 4, ukiwa na kozi za certificate na diploma hela zipo nje nje cha muhimu ni kujitangaza na matangazo
Asante kwa ushauri wako mkuu
 
Yani unauza shule na wanafunzi wake dah, biashara ya binadamu hii
 
Hakuna biashara siipendi kama ya shule
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…