Matokeo vipi mkuu?ala Kumbe Zanzibar ina wimbo wao wa taifa na Bendera!! Kumbe ni nchi huru aisee!! nimeshuhudia kwenye ile fainali ya jana.
Baadhi ya maneno wanayotuambia ni haya:-'Zanzibar tumewafunga Tanganyika,tukawafunga na shemeji zeo kwa Zari',Lakini kuna maneno mengine ni matusi kabisa. Hapa ni zaidi ya mpira hata ukisoma Twit ya Mh.Jakaya Kikwete na majibu aliyopewa na Jusa,utagundua kwamba hapo ni zaidi ya mpira. Wazanzibar wanataka nchi yao kwa nini tunalazimisha muungano? Ni kitu gani sisi Watanganyika tunakipata ktk muungano huo? Ni kitu gani kimejificha nyuma ya muungano ambacho Watanganyika hatukijui?
One China to governments (China mainland+Hong kong)1997ala Kumbe Zanzibar ina wimbo wao wa taifa na Bendera!! Kumbe ni nchi huru aisee!! nimeshuhudia kwenye ile fainali ya jana.
Na waTanganyika wapewe ya kwao!Wapewe nchi yao, wamekwishajitambua hao
usalama bila haki is rubbish.....One China to governments (China mainland+Hong kong)1997
One China (China +Taiwan)
Marekani jinsi alipata shida na Cuba 1980's
nk.
Nadhani faida kubwa ni usalama wala sio hiliki au tende toka zenji