Habari ndugu,
Kwa wale wanaovutiwa kuwekeza katika kilimo, Ndani ya mkoa wa Njombe, wilaya ya Njombe, Tarafa ya Lupembe, nimewaletea mashamba mahususi kwa dhumuni hilo.
Kuna jumla ya ekari 400 zinauzwa: ekari 200 zipo kijiji cha matembwe na zinauzwa tsh. 300,000/= kwa kila
Na ekari 200 zipo kijiji cha ikondo na zinauzwa tsh. 200,000/= kwa kila ekari.