Shamba lenye ukubwa wa ekari sita (6) linauzwa maeneo ya puna-kimbiji. Lipo karibu na Anderson beach ni dakika kumi na tano tu(15mns) hadi kufika beach. Kwa more infomation: contact 0715 664 478.

Puna,
Kimbiji,
Kwa Anderson.
Ndo wapi huko?
Yaani unaona watu wataeleeeeewa ukisema hivyo.
Jifunzen kuelekeza mtu, nyie ndo wale ambao hamkawii kusingizia mmelogwa ndo maana biashara haiendi.