Shamba linauzwa
Eneo: Mbwewe -njia ya kwenda Tanga mbele ya msata
Km tano kwanzia barabarani
Ukubwa: heka 20
Bei: 200,000 heka moja
Makubaliano: Lipa kwa awamu (instalments) ila unaanza na laki nane cash.
Kwa mawasliano zaidi please ni PM. Asanteni
nahitaji kujua kama ukinunua ambapo pna pori kuna miti ya kukata mkaa? mbegu ya nanasi kwa heka 5 sh ngap? pana umbali gani kutoka njia kuu ya Dar Tanga
nahitaji kujua kama ukinunua ambapo pna pori kuna miti ya kukata mkaa? mbegu ya nanasi kwa heka 5 sh ngap? pana umbali gani kutoka njia kuu ya Dar Tanga
Nanas hizo hapana mkuu ni shamba la jiran yangu hilo. Eneo lina miti ila sio pori japo ni virgin land a very fertile area. Kuhusu umbal from main road ni km 5 yaan ukitaka dar na bus la saa 12 asbh unafika na kusimamia kabisa na kurudi siku hio hio.