Shamba linauzwa, liko kijiji cha msowero, wilaya ya kilosa mkoa wa Morogoro. shamba limepimwa na lina hati, ukubwa ni ekari 47.8 liko kandokanda mwa mto msowero linafaa sana kwa kilimo cha umwagiliaji, kuna nyumba na barabara. mazao yanayo zalishwa ni rahisi kuyafikisha kariakoo kwani ni barabara ya lami na ukiondoa foleni ni masaa 4 manne kutoka shambani mpaka kariakoo na masaa 2;30 kutoka shambani mpaka Dodoma mjini. kwa yeyote atakaye lihitaji tukutane inbox.