Mkuu sijapata picha bado kuhusu hilo eneo la KIGAMBONI KARIBU NA SOKO KUU. kwa ninavyoijua kigamboni Sokoni ni pale Ferry na limezungukwa na maduka sasa wewe hapo ni wapi au mji gani au nchi gani????