Shamba Lililopimwa Lipo Bagamoyo

Chebbyy

Member
Joined
May 21, 2017
Posts
19
Reaction score
6
Shamba lililopimwa lipo bagamoyo, ukivuka daraja linalotenganisha bunju na bagamoyo upande wa kushoto uelekeo wa bagamoyo, umbali ni kilometa 7 kutoka bagamoyo road kwenda shambani yaani kutokea baobab sekondari hadi shambani.
Shamba lenyewe lipo kata ya saangani sehemu inaitwa kidimu, shamba lina jumla ya hekari 8 zilizopimwa zote, na linauzwa kwa hekari.
Hekari 1 bei 10 million maongezi yapo kidogo.








 
umenena vema, nilikuwa naangalia bei natamani hapo ki heka kimoja tu nisaidie
 
Kaka mbona kama kuna plan/michoro isiyoendana na shamba hilo yenye kuonyesha kuwa shamba lina plan za matumizi mengine tayari?
hilo na mimi limenipa mawazo kweli. Kwa eneo ulilotaja nadhani kama utafikia 3m tuwasiliane
 
kuna huduma gani za kijamii maeneo hayo,,,,umeme na maji vipoo,,,nataka hapo heka moja,,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…