Shamba Kigamboni Puna

MwanaMagongo

Member
Joined
Aug 15, 2011
Posts
76
Reaction score
47
Shamba la mipapai ekari 2, miundo mbinu ya umwagiliaji kisima cha mita 90, tank la maji ,Dripu za umwagiliaji, pump, kibanda cha watumishi/stoo. liko barabarani kabisa ,bei Tsh 16,000,000
 

Attachments

Kuna nini nyuma ya pazia watu kuuza maeneo yeni kigamboni kwa kasi ya 5g?
 
Bado lipo ?
niliisha uza, ila kando yake nina 1.5 acre ina green house na mpunga, kisima kwa 9m na mbele mita 600 kuelekea baharini nina ekari 4, zina nyumba ,mabanda 2 ya ufugaji, kisima na tank la maji bei mil 40 na beach kabisa acre 6(hazijalimwa) kwa mil 78
 
Eka 11 ndo zakutoa hongera?jirani yetu kina Chaurembo wana ekari 300 hapo hapo jirani
Pokea hongera yangu boss,wewe unadharau ekari 11 Kigamboni,mm familia yangu haina hizo ekari mahali popote duniani.
Kwanini nisikupe hongera mkuu!!?))
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…