SHAMBA AU PORI LINAUZWA

Kun Jr

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
701
Reaction score
363
Shamba au pori linauzwa linafaa kwa matumizi yote kulingana na mahitaji ya mteja mwenyewe
Lipo Muriet Arusha km 3 kutoka barabara ya Africa Mashariki
Lipo karibu na huduma zote za jamii
Jumla lina ukubwa wa ekari 3.5
Linauzwa kwa kila ekari 1
Bei ya ekari moja Milioni 16
Mawasiliano 0738950197
 
Aisee, huku nilipo unapata hekari moja kwa sh. Laki moja na hamsini tu..[emoji38]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…