Serious EATV?

Status
Not open for further replies.

IamMrLiverpool

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
4,881
Reaction score
7,536
Edo,,Alisema Elimu Elimu Elimu
Watu wakamdharau saaa angalieni leo Eti media Nzima inajinadi na kuaandaa kipindi ambacho kitatoa somo la kitu fulani na atakae toa somo ni marehemu
Eti Tutakuwa na Marehemu Kapten Slaa Akitufundisha jinsi ya kurusha helkopta..nonsense kabisa nyie media hamjaenda shule au ndio ajira za kupeana????
 
Mkuu sijajua tatizo lako liko wapi lakini mimi nilikiona hiko kipindi kama si jana basi juzi sina uhakika na ni kweli marehemu ndio alikuwa akitoa maelekezo ya jinsi helkopta inavyoweza kuruka kutua na hata kuelea hewani na kazi za baadhi ya vitu jinsi vinavyotumika.Sasa sijui wewe ulitaka watuelezeeje sisi watazamaji ?????? ( kwa sababu kipindi kiko recorded na aliyerekodiwa ni huyo marehemu )
 
Tatizo kubwa kabisa lakwanza ninaloliona hapa sijui ni uvivu au nini, coz mleta mada hili jukwaa sio jukwaa sahihi kwa ulichokileta!
 
Teh teh teh

Huo Mwanzo tu mtamkumbuka EDO
Wewe unashangaa hilo,Madiwani kibao wa CCM hawajui Kusoma

BTW,Huu Uzi siyo Mahala pake..!
 
Ubongo wako ndio marehemu. ELimu umeikosa kiasi huoni kuwa kipindi kinaweza kutengenezwa kwa picha na video za zamani.

Siku ukisikia 'anayetufungia kipindi kwa siku hii ya leo ni mfalme wa pop, Marehemu Michael Jackson unaweza kumuita Wacko Jacko........' kwa akili yako hiyo ya mapovu si utakimbia mbio ukidhani anakuja kutoka kaburini.

Nitailaumu sana CCM kwa hili la elimu yako
 
 
 
 
 
 


Aiseeeh!!
 
Tatizo nini

Lowassa kivipi hapo
acheni kutafuta sababu za kipuzi ili watu wawataje watu Wa hovyo
 
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…