Hatuko tayari kuona mabenki yanakufa eti MPesa, Tigopesa Airtelmoney, Ezypesa etc. Kwanza kuna utata juu ya mapato na kodi wanazolipa, pili hakuna public offer kwa watanzania hivyo yanamilikiwa sijui na wageni 100% hata hatufahamu, hence huduma hizo zipigwe chini au kuwe na limitations kama account kuwa na kiwango cha juu cha 30,000/- sio mamilioni kama ilivyo sasa; yaani iwe kwa hela ya dharura na mboga au unga wa siku moja tu.