Sasa naona UMUHIMU wa ICC. Kutokana na aina ya viongozi wa Africa katika UCHAGUZI,wanafanya udukuzi kwa kuuA MTU.

emmanuel mhecha

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
933
542
Nasikitika sana Africa tunabaki kuwa wapumbavu mbele ya wazungu, wazungu walituwekea hii mahakama ya Uhalifu ,cause walijua mapungufu yetu ,yaani hata kudukua hatujui ,tunashindwa hata kumuomba Putin atufundishe kudukua bila madhara,Africa tunastahili kutawaliwa tena-Trump,)inakuwaje uendelee kula asali na maziwa kwa staili ya kuua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…