Tushakujua suraApp InterfaceView attachment 935456
Naongeza ten iwe 110.100000 ipo cash mkuu
Taratibu mkuu...kwa kuwa ni biashara twende taratiiiiibu.Fresh
Tuchukulie uko serious una akili timamu na haujaleta utani. Note 3 unaweza kununua laki moja? Ukinunua Note 3 laki Note 4 unataka uuziwe shilingi ngapi?
Halafu tecno c5 utauziwa shiligi ngapi?