Vipi hiyo simu ukiweka line unaweza kuangalia salio au kufanya miamala au kujiunga vifurushi? Maana naskia hizi ni za korea hivyo code za Tanzania hazisomi