Samsung digital camera pl121 megapixel 14.2

TZ biashara

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
523
Reaction score
107
Nauza Samsung Digital Camera model PL121 ambayo ipo karibu na upya kwasababu imetumika mara 2 tu kutokea upya wake.Haina tatizo lolote na inakuja na box yake pamoja na vifaa vyake vinavotakiwa kuambatana nayo.Camera hii ni nzuri sana na ina screen sehemu ya mbele pamoja na nyuma kwa hivo ni nzuri kutumia kama kwa kuseti pale unapotaka kujipiga picha kama huna mtu wakukupiga na ni rahisi kuiseti ili kupata picha nzuri.Bei yake ni Tshs 160,000 na ipo Bongo imefika kutokea Uingereza.Kwa mawasiliano zaidi mpigie simu Habibu 0717810318.

 
mkuu, ni pm kama bado ipo
 
Ningar...mbona bei ni poa kabisa wala simuumizi mtu ndugu yangu
 
mama D..sinauhakika kama ipo au imeuzwa lakini naomba mpigie au mtext Habibu 0717810318.Mimi sipo huko niliutuma tu mzigo na nimemkabidhi yeye habibu.
 
double screen 160K??, mhh.
nnavyojua mie Samsung Original double screen chini ya 350K HUPATI HATA KIDOGO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…