Ina viti viwili, mashine, sterlizer, tv, kingambuzi cha startimes, generetor, sink la kuoshea, taa mbili za kuzunguka, kiti cha kusubiria wateja cha chuma. Imelipiwa kodi hadi december, kodi ni 70,000/= kwa mwezi.
Ipo mbezi ya kimara njia ya kwenda goba (inayowekwa lami sasa hivi)
Kesho nipo free anayehitaji aje kesho nimuoneshe. Bei kwa ujumla wake ni milioni 2 tu kwa haraka.
Nicheki 0713 322 856