NAFUU VUNJA BEI
Member
- May 19, 2017
- 31
- 25
Mbona hiyo cheap price haipo apo mkuu edit uzi wako weka beitunakuletea sabwoofer zenye uwezo mkubwa na sifa za kisasa zenye RADIO STATION, BLUETOOTH, USB PORT, MMC PORT
Warrant miaka 2.
Tunapatikana Kkoo msimbaz daresalaam na China Plaza floor ya pili
huduma zetu tunakufukia ulipo nchi nzima
Dar es salaam free delivery
Mikoani tunasafirisha inakufikia haraka
Contact :0714417739
Bei umechagua ipiBei je
Fanya chaguoWeka bei
Fanya chaguo
Ipi hioHiyo ya Laki sita hebu nipunguzie Tufanye biashara.
Kama mnunuzi kweli unapiga simu kujiridhisha unachotakaunaogopa nini kuweka bei ulaghai tu kila radio ulitakiwa uorodheshe na bei yake sasa wapi achague?
Kama muuzaji kweli wa bei nafuu, weka bidhaa na bei yake ili watu wachague watakayoona ina nafuu.Kama mnunuzi kweli unapiga simu kujiridhisha unachotaka
umesema Uzi apa na bei uweke apa sio private.au unaturingishiaKama mnunuzi kweli unapiga simu kujiridhisha unachotaka
Una bei ganiBei yako ipo juuu sana.
Okumesema Uzi apa na bei uweke apa sio private.au unaturingishia