kaka kwani kuangalia hujui mm ntakuonyesha fanya hivi kwa samsung zote kubwa kubwa.bonyeza *#0*# hapo kuna menu itatokea hapo bonyeza "sensor"pale utapitisha mkono kushoto na kulia ktk kioo cha simu kuna rangi huwa zinatokea huku simu inatoa vibaration.usiogope