Roketi inarudije katika kinu chake? Je, inarudi kinyunyume au?

mkuu rocket huwa inaungua huwa hairudi nlickia tu marekani ndo walikua wanata kuifanya hio rocket engine iwe reusable,nafikri we unzizungumzia zile ndege za kijesh za zamani ambazo tunaziona hapa kwetu sa labda ungetafuta jina lake halisi znaitwaje,
 
Mkuu hii nadhani bado ipo kwenye majaribio hususani hiyo ya kutumia thrusters nasa ndio wanahangaika nayo, but so far ,no rocket has been recovered after has been propelled , na hii gharama ya kutengeneza hizi rocket ndizo zinazofanya tasnia ya unajimu/utafiti wa anga za mbali (space exploration) kuwa ghari na mgumu
 
docking ni kitendo cha roketi kujiatach kwenye international space tation... hapo kwe station kuna doking port ambazo ni maalumu kwavyombo mbalimbali kwenda kujiegesha pale nahutumika kama milango maana ni matundu ya kuingilia ndani ya ISS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…