Jack Lee Member Joined Feb 23, 2011 Posts 72 Reaction score 70 Feb 27, 2020 #1 Habari wadau wa Generator, Nauza Generator niliagiza Japan bado Liko vizuri sana, hp 1500 KVA 1.5 Sababu ya kuliuza nimeagiza kubwa zaidi ya hili kama unalitaka changamka dukani bei yake ni 2m mimi nauza laki saba tu mzigo unapatikana Tabata Matumbi Bei 700k Nipigie kwenye namba hii 0735-472-232 Attachments FFE4E9CF-5921-4160-B136-6A5D15F7A799.jpeg 207.6 KB · Views: 14 82642E6B-ABF1-4666-854D-A56EBC214BBE.jpeg 191.3 KB · Views: 13 2A5C1522-C3EE-4B55-91B8-3452D62BE14B.jpeg 231.8 KB · Views: 16 EEC3F8EA-AB7F-488E-B0BA-C4BA615916A8.jpeg 120.3 KB · Views: 15 B0323919-338D-48A4-8D81-DD455381D84E.jpeg 144.1 KB · Views: 14 F4E83CCF-2B8D-460D-9F37-A6F119CF67F6.jpeg 188.2 KB · Views: 12
Habari wadau wa Generator, Nauza Generator niliagiza Japan bado Liko vizuri sana, hp 1500 KVA 1.5 Sababu ya kuliuza nimeagiza kubwa zaidi ya hili kama unalitaka changamka dukani bei yake ni 2m mimi nauza laki saba tu mzigo unapatikana Tabata Matumbi Bei 700k Nipigie kwenye namba hii 0735-472-232
Ndalama JF-Expert Member Joined Nov 22, 2011 Posts 8,787 Reaction score 6,543 Feb 27, 2020 #2 Nina 500k
Jack Lee Member Joined Feb 23, 2011 Posts 72 Reaction score 70 Feb 27, 2020 Thread starter #3 Ndalama said: Nina 500k Click to expand... Mkuu hailipi lingekuachia nashida na pesa
Zanaco JF-Expert Member Joined Feb 17, 2016 Posts 1,612 Reaction score 1,591 Feb 27, 2020 #4 Mkuu bei gani Tank kama lita ngapi?
Jack Lee Member Joined Feb 23, 2011 Posts 72 Reaction score 70 Feb 27, 2020 Thread starter #5 kimswilia said: Mkuu bei gani Tank kama lita ngapi? Click to expand... Nauza 700,000 Tank lake ni lita 5 bos wangu.
kimswilia said: Mkuu bei gani Tank kama lita ngapi? Click to expand... Nauza 700,000 Tank lake ni lita 5 bos wangu.
Jack Lee Member Joined Feb 23, 2011 Posts 72 Reaction score 70 Feb 28, 2020 Thread starter #6 kimswilia said: Mkuu bei gani Tank kama lita ngapi? Click to expand... Ulaji wa mafuta mzuri sana inawaka vizuri haina makelele
kimswilia said: Mkuu bei gani Tank kama lita ngapi? Click to expand... Ulaji wa mafuta mzuri sana inawaka vizuri haina makelele
Jack Lee Member Joined Feb 23, 2011 Posts 72 Reaction score 70 Mar 1, 2020 Thread starter #7 Wote mnakaribishwa bado liko sokoni
Jack Lee Member Joined Feb 23, 2011 Posts 72 Reaction score 70 Mar 5, 2020 Thread starter #8 Bado liko sokoni
Mohamed_jumanne JF-Expert Member Joined Feb 16, 2020 Posts 331 Reaction score 938 Mar 5, 2020 #9 Inaweza kuendesha zile Subimmesible Water pump za single phase? Sent using Jamii Forums mobile app
Jack Lee Member Joined Feb 23, 2011 Posts 72 Reaction score 70 Mar 5, 2020 Thread starter #10 Mohamed_jumanne said: Inaweza kuendesha zile Subimmesible Water pump za single phase? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Zina watt ngapi?
Mohamed_jumanne said: Inaweza kuendesha zile Subimmesible Water pump za single phase? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Zina watt ngapi?
Jack Lee Member Joined Feb 23, 2011 Posts 72 Reaction score 70 Mar 5, 2020 Thread starter #11 GADAF said: Zina watt ngapi? Click to expand... unapicha yake unionyeshe
Jack Lee Member Joined Feb 23, 2011 Posts 72 Reaction score 70 Mar 5, 2020 Thread starter #12 Mohamed_jumanne said: Inaweza kuendesha zile Subimmesible Water pump za single phase? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Poa
Mohamed_jumanne said: Inaweza kuendesha zile Subimmesible Water pump za single phase? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Poa
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,535 Reaction score 28,284 Mar 6, 2020 #13 very cheap
Jack Lee Member Joined Feb 23, 2011 Posts 72 Reaction score 70 Mar 6, 2020 Thread starter #14 chakii said: very cheap Click to expand... Karibu sana mkuu
Jack Lee Member Joined Feb 23, 2011 Posts 72 Reaction score 70 Mar 18, 2020 Thread starter #15 Bado iko sokoni wakuu mwenye kushida na Original generator anicheki inatumia mafuta kidogo sana