Research Consultant
JF-Expert Member
- Dec 29, 2022
- 471
- 792
Hiyo ni kawaida kwa aina hii ya uzi. Tuko busy na udaku plus mpiraMbona huu uzi haujapata comment
Sahivi tunakunywa bia mambo ya research ya waoga wa maisha😁😁😁Mbona huu uzi haujapata comment
TUko na Yanga na Eti ,Hiyo ni kawaida kwa aina hii ya uzi. Tuko busy na udaku plus mpira
😃🫡Sahivi tunakunywa bia mambo ya research ya waoga wa maisha😁😁😁
Comrade, siyo kwamba unawasagia kunguni! Binafsi nilikuwa nafikiria kuwatafuta siku za usoni ili wanisaidie kwenye data analysis. Maana hilo zoezi huwa linachosha sana.Hawa jamaa ni wezi. Ninawajua vizuri, hakuna wanachojua juu ya research. Nimefanya research juu yao pasipo wao kutambua. Nilichopata ni kwamba hakuna wanachojua juu ya research. Jichanganye uliwe.
Nimekupa dondoo za awali tu hizo. Watafute kwa uhakika zaidi.Comrade, siyo kwamba unawasagia kunguni! Binafsi nilikuwa nafikiria kuwatafuta siku za usoni ili wanisaidie kwenye data analysis. Maana hilo zoezi huwa linachosha sana.
Boss utakuwa umechanganya kampuni, sio vzuri kuchafua kazi za watu bila sababu za msingi, Tumefanya kazi na watu humu zaidi ya 25 wengine wapo Vyuo vya china, Malaysia na wengi Sana kutoka vyuo cha ndani, wakiiona hii comment yako watakuja kutoka ushahidi wa namna tulivo na tunavyofanya nao kazi vizuri, manake kazi za research ni za muendelezoHawa jamaa ni wezi. Ninawajua vizuri, hakuna wanachojua juu ya research. Nimefanya research juu yao pasipo wao kutambua. Nilichopata ni kwamba hakuna wanachojua juu ya research. Jichanganye uliwe.
Mawasiliano yapo wazi na wengine ili kuthibitisha tunakutana nao face to face tunazungumza na kupeana maelekezo directly. Huyu jamaa sijui ana shida gani ila pia nadhani hajui impact ya hiki alichokiandika hapaComrade, siyo kwamba unawasagia kunguni! Binafsi nilikuwa nafikiria kuwatafuta siku za usoni ili wanisaidie kwenye data analysis. Maana hilo zoezi huwa linachosha sana.
Wewe sio mtu mzuri na ujitafakari Sana, wanafunzi wote wa postgraduate tulioifanya nao kazi na tunaoendelea kufanya nao wako proud na kazi zetu. Ila hiki unachokiandika hapa unaleta upotoshaji wa kiwango cha juu sanaNimekupa dondoo za awali tu hizo. Watafute kwa uhakika zaidi.
Nimeshangazwa na alichokiandika mdau Love Nuru hapo juu. Binafsi namfaham mmojawao anayeitwa Lihega. Nimefanya naye kazi za research kwenye Consulting company moja na tumeshakutana mara kadhaa kwenye inception seminars maeneo mbalimbali.Comrade, siyo kwamba unawasagia kunguni! Binafsi nilikuwa nafikiria kuwatafuta siku za usoni ili wanisaidie kwenye data analysis. Maana hilo zoezi huwa linachosha sana.
Karibu Sana Boss, Sijajua lengo lake Love Nuru ni lipi ila kwa hii hapana, kuchafua ofisi ya watu bila sababu za msingi sio poa hata kidogo labda aje na ushahidi anaousema yeye, Tumekuwa tukiweka matangazo katika platform hii mara kwa mara kwa sababu hapa ni sehemu sahihi kwa kuitanganza shughuli za hii kampuniNimeshangazwa na alichokiandika mdau Love Nuru hapo juu. Binafsi namfaham mmojawao anayeitwa Lihega. Nimefanya naye kazi za research kwenye Consulting company moja na tumeshakutana mara kadhaa kwenye inception seminars maeneo mbalimbali.
Je, hapo ofisini kwenu hakuna mtu kaja na kazi ya meta analysis mkazingua? Nilete ushahidi? Je, hakuna mtu hapo ofisini kwenu kawaletea kazi pure qualitative mkashindwa hata kujua software tu ya kufanyia analysis? Nilete ushahidi? Je, hakuna mtu hapo ofisini kwenu kaja na kazi inayohitaji comparison mkashindwa kujua hata ni model gani au test gani mfanye kwa analysis? Je, nilete ushahidi? Vipi kazi inayohusu IT iliyowafikia wiki mbili zilizofika, mliipokea?. Nina findings nyingi juu ya hoja yangu, ukipenda nizilete hapa moja baada ya nyingine nitafanya hivyo. Vipi mlipoambiwa kutengeneza do file ya stata itakayoweza kutumiwa kwenye Github na Python kufanya analysis, mlitengeneza? Niongee zaidi?Karibu Sana Boss, Sijajua lengo lake Love Nuru ni lipi ila kwa hii hapana, kuchafua ofisi ya watu bila sababu za msingi sio poa hata kidogo labda aje na ushahidi anaousema yeye, Tumekuwa tukiweka matangazo katika platform hii mara kwa mara kwa sababu hapa ni sehemu sahihi kwa kuitanganza shughuli za hii kampuni
weka sasa hivi tuoneJe, hapo ofisini kwenu hakuna mtu kaja na kazi ya meta analysis mkazingua? Nilete ushahidi? Je, hakuna mtu hapo ofisini kwenu kawaletea kazi pure qualitative mkashindwa hata kujua software tu ya kufanyia analysis? Nilete ushahidi? Je, hakuna mtu hapo ofisini kwenu kaja na kazi inayohitaji comparison mkashindwa kujua hata ni model gani au test gani mfanye kwa analysis? Je, nilete ushahidi? Vipi kazi inayohusu IT iliyowafikia wiki mbili zilizofika, mliipokea?. Nina findings nyingi juu ya hoja yangu, ukipenda nizilete hapa moja baada ya nyingine nitafanya hivyo. Vipi mlipoambiwa kutengeneza do file ya stata itakayoweza kutumiwa kwenye Github na Python kufanya analysis, mlitengeneza? Niongee zaidi?
Je, hapo ofisini kwenu hakuna mtu kaja na kazi ya meta analysis mkazingua? Nilete ushahidi? Je, hakuna mtu hapo ofisini kwenu kawaletea kazi pure qualitative mkashindwa hata kujua software tu ya kufanyia analysis? Nilete ushahidi? Je, hakuna mtu hapo ofisini kwenu kaja na kazi inayohitaji comparison mkashindwa kujua hata ni model gani au test gani mfanye kwa analysis? Je, nilete ushahidi? Vipi kazi inayohusu IT iliyowafikia wiki mbili zilizofika, mliipokea?. Nina findings nyingi juu ya hoja yangu, ukipenda nizilete hapa moja baada ya nyingine nitafanya hivyo. Vipi mlipoambiwa kutengeneza do file ya stata itakayoweza kutumiwa kwenye Github na Python kufanya analysis, mlitengeneza? Niongee zaidi?
Mkuu weka ushahidi hapaJe, hapo ofisini kwenu hakuna mtu kaja na kazi ya meta analysis mkazingua? Nilete ushahidi? Je, hakuna mtu hapo ofisini kwenu kawaletea kazi pure qualitative mkashindwa hata kujua software tu ya kufanyia analysis? Nilete ushahidi? Je, hakuna mtu hapo ofisini kwenu kaja na kazi inayohitaji comparison mkashindwa kujua hata ni model gani au test gani mfanye kwa analysis? Je, nilete ushahidi? Vipi kazi inayohusu IT iliyowafikia wiki mbili zilizofika, mliipokea?. Nina findings nyingi juu ya hoja yangu, ukipenda nizilete hapa moja baada ya nyingine nitafanya hivyo. Vipi mlipoambiwa kutengeneza do file ya stata itakayoweza kutumiwa kwenye Github na Python kufanya analysis, mlitengeneza? Niongee zaidi?