MoneyMakerTz
Member
- May 22, 2018
- 32
- 12
Hizo hapo mkuu.Picha tafadhali alafu na transmision
taarifa gani nyingine unazohitaji boss.weka taarifa za kutosha
Hahahah wewe jamaa bhana kila sehemu upo sema safi 8m kamili ndogo boss wangu.boss ipo 8M kamili hapa
Sio ndogo,sema chache..Hahahah wewe jamaa bhana kila sehemu upo sema safi 8m kamili ndogo boss wangu.
hahahaha sawa boss ngoja nijaribu kucheza BIKO na 3-MZUKA nikifanikiwa nitazajia hapo tufanye biashara, niombee kwa Mungu kila sekunde nifanikiwe kushinda mkuu...🙁🙁Hahahah wewe jamaa bhana kila sehemu upo sema safi 8m kamili ndogo boss wangu.
nomaa hahaha yani utafanikiwa tuh boss wangu.hahahaha sawa boss ngoja nijaribu kucheza BIKO na 3-MZUKA nikifanikiwa nitazajia hapo tufanye biashara, niombee kwa Mungu kila sekunde nifanikiwe kushinda mkuu...🙁🙁
Tunajuana mimi na yeye boss usijali.Sio ndogo,sema chache..
Amna boss haujawa serious tuh kutafuta mbona wapo mwenge pale kwa Dar.D4!
Bongo mafundi wa D4 ni shida sana.
mkuu ipo barabarani ndio.Mkuu iko barabaran au imelala?
Hii bado ipo?Jamani yangu hiyo nauza TZS. 14m
.
YOM: 2003
Engine: 1zz vvti
Capacity: 1790cc
Automatic
Petrol
4WD
110,000Kms
.
Call: 0719 143475
View attachment 1180516View attachment 1180517View attachment 1180518View attachment 1180519View attachment 1180521View attachment 1180522View attachment 1180523