Rav 4 old model for sale

Angelo007

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2013
Posts
1,846
Reaction score
1,365
Rav 4 old model ipo sokoni.
Price 8m
Manufacturer year 1995
Displacement 1990

Ni pm mwenye huitaji

 

Attachments

  • 1463838873078.jpg
    54.4 KB · Views: 74
Mkuu 6m upo chini, engine bado inadai imekua ikiendeshwa na bi mkubwa mda mrefu na ni weekend tu kuendea kanisani, ukitaka picha za engine ntakutumia mida coz nilisahau kupiga kwa engine.
 
Je haijapigwa rangi mpya?
Hizi gari nzuri na ni roho ya Paka,ngum balaa
Na Suala Jingine,hizi nyingi ni 4WD je hii ipoje na ni 4WD muda wote au ni optional
 
Mkuu 6m upo chini, engine bado inadai imekua ikiendeshwa na bi mkubwa mda mrefu na ni weekend tu kuendea kanisani, ukitaka picha za engine ntakutumia mida coz nilisahau kupiga kwa engine.
Engine haijafunguliwa?
 
Hizi propaganda za kusema sijui mwenye gari ni mwanamama au sijui muhindi zinaboa sana,kwani gari ikiendeshwa na mama/muhindi ndio inakuwa nzima? Kwangu mie gari ikiendeshwa na mwana mama ndio siununui kabisa kwani wengi hawapo makini anaweza akatoka home huku gari ipo kwenye handbrake au tyre haina upepo na wala hajui,swala la kuikagua gari kabla ya kuondoka wakina mama hawana kabisa eg kucheck oil/coolant
 
Mkuu huoni hiyo gari ilivyonona rangi
Imepigwa rangi mpya hiyo, sasa hapo ndo wateja hukimbia unless uwaambie ukweli
Mkuu gari ni kwa mwenye huitaji, ata mimi nataka serious buyer only
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…