Patrick Peter Msuya
New Member
- Sep 23, 2016
- 3
- 2
Mkuu naona siku hizi umegoma kutuletea hizi vituSafi
Njoo uchukue Archicad 20 na Artlantis 6 na Lumion 5 utaboresha kazi zakoHivi software gani unatumia..mimi natumia archicad 12 ila haitoi picha nzuri hivyo
Ina 3 bedroom one master two self-contained ,Living room,Dining,Kitchen,store and common toilet ....Ramani inaenea katika kiwanja cha 20x20 meter plot =400 sqm Ramani inapatikana kwa bei poa wasiliana kwa no 0656315566https://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/04aadeb49350fd18e60b5dd596fc0234.jpg[/
hua ramani haiuzwi bali kinacho uzwa huduma ya usanifu wa majengo, engineering, construction cost management nk.
unachokifanya apo ni kutangaza unauza viungo vya pilau wakati alieko gengeni hata hajasema anahitaji kwenda kupika nn.
Kama unahitaji Ramani nipigie kwa no iliyo weka apoMlishapata mteja kama bado niambie kabla haijawahiwa
Nimepata Archcard 20 naomba nisaidie key au namna ya kukrackNjoo uchukue Archicad 20 na Artlantis 6 na Lumion 5 utaboresha kazi zako
Ina 3 bedroom one master two self-contained ,Living room,Dining,Kitchen,store and common toilet ....Ramani inaenea katika kiwanja cha 20x20 meter plot =400 sqm Ramani inapatikana kwa bei poa wasiliana kwa no 0656315566 Tafadhali Weka ground/floor plan
hivi am just curious ..kama hawaruhusiwi kutangaza kazi zao watawafikiaje wateja wao...anyways ninachotaka kujua ni the reason behind hiyo sheriasi njia bora kuseema unauza ramani.
hua kinachotakiwa kuuzwa ni service ya usanifu majengo, uhandisi, ukadiriaji majengo nk..
unachofanya hapo ni kutangaza unauza viungo vya pilau, wakati mpishi hayupo, hajajitokeza na kusema anaenda kupika nn na walaji pia huwafahamu wanahitaji nn. una mengi bado yakujifunza ikiwemo kutotangaza huduma hizi sbb ni kinyume cha sheria!
Nipigie, au njoo ARU nikupe Official KEYNimepata Archcard 20 naomba nisaidie key au namna ya kukrack