Quality Electronic products

VN Warehouse Limited

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2023
Posts
931
Reaction score
1,007
Habari,

Karibuni kwenye hii thread , ntakua na share products za umeme nnazouza , Ofisi yetu iko Msasani karibu na Hospital ya CCBRT

Tunauza kwa jumla na rejareja, kwa wateja wanaopenda kufanyiwa delivery tunafanya ndani ya Dar es salaam na mikoani tunatuma pia

Bei zetu ni nzuri

Kwa maelezo zaidi


Call/Whatsapp - +255 (0) 719 07 32 06
Instagram page - @vj_tronix
Msasani-Dar es salaam
 

Attachments

  • IMG_20230419_133422_155.jpg
    27.6 KB · Views: 41
hapa ndio umetangaza biashara kweli?
Hapana mkuu, kuna thread nyingine nnayo post items mbali mbali nnazouza

Hii hapa



The Spirit of Tanzania
 
Mnauza bidhaa zenu kwa bei ya jumla? Halafu ungetuwekea tangazo lililo kamilika. Mambo ya kusema tuku follow Instagram, FB, au twitter! Unakuwa hututendei haki.

Kumbuka jamii forums nayo ni mtandao unaojitegemea. Hivyo unatakiwa uuheshimu.
Asante sana mkuu kwa maoni yako ,

Ndio tunauza kwa jumla pia

Fungua hii thread



Tate Mkuu
 
Nashukuru. Ila kwenye kipengele cha bei bado hujanijibu, iwapo mnauza kwa bei ya jumla? Au mnauza rejareja tu.
 
For quality electronic products


Call/Whatsapp - +255 (0) 719 07 32 06
Instagram page - @vj_tronix
Msasani-Dar es salaam
 
For quality electronic products


Call/Whatsapp - +255 (0) 719 07 32 06
Instagram page - @vj_tronix
Msasani-Dar es salaam
 
For quality electronic products


Call/Whatsapp - +255 (0) 719 07 32 06
Instagram page - @vj_tronix
Msasani-Dar es salaam
 
G.morning

For quality electronic products


Call/Whatsapp - +255 (0) 719 07 32 06
Instagram page - @vj_tronix
Msasani-Dar es salaam
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…