Full HD Projector 1080p✅
2000 LUMEN Led ✅
Built in Speakers✅
2 HDMI input + VGA✅
USB (Flash pamoja na SD Card)✅
Bluetooth (Unaconnect kwenda speaker/headphones ✅
NImeweka picha na video uone quality yake hapo imeunganishwa na kingamuzi cha Azam
Upto 100inches Screen✅
Kwa matumizi ya ofisi ✅
Kwa matumizi ya kufundishia✅
Kwa matumizi ya kuonyesha mpira✅
Kuangalia Movie nyumbani✅
Ina mwezi moja tu toka ianze kutumika, so siwezi kukupa exact amount ya hours, na pia hii ni LED Projector ambayo ina uwezo wa kutumika masaaa 25,000 (3years)
Ina mwezi moja tu toka ianze kutumika, so siwezi kukupa exact amount ya hours, na pia hii ni LED Projector ambayo ina uwezo wa kutumika masaaa 25,000 (3years)
Ina maana hiyo bulb yake inapungua nguvu, so ni ya kubadilisha, ni kama vile taa ya kawaida unayotumia.. inakuwa baada ya muda, unabadilisha.
Sasa hii projector LED bulb yake, maisha yake ni miaka mitatu ya matumizi.. inamaana kama unaiwasha kila siku.. masaa 24.. baada ya miaka mitatu inapungua nguvu.