Optimistic_
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 2,347
- 1,860
Ujinga mwingiUmenikumbusha mbali sana
MtumeeeNilimezaga hivyo vitabu vyote π π π ila nimeishia kuwa boda boda
Maisha hayana kanuni.. ila Physics naipenda sanaMtumeee
Japo Physics haikukupenda. Dr Msukuma na Dr Babu tale wenzio wanakula mema ya nchi bila hiyo Physics yakoMaisha hayana kanuni.. ila Physics naipenda sana
Yote maisha, naitumia physics nikiwa nimebeba mishikaki ( abiria zaidi ya mmoja ) hasa napo kata konaJapo Physics haikukupenda. Dr Msukuma na Dr Babu tale wenzio wanakula mema ya nchi bila hiyo Physics yako
Angalia usitumie Physics hiyo hiyo (Archimedes Principle) kupitisha Msumari wa Nyama huko DAWASKO (mfereji wa maji taka).Yote maisha, naitumia physics nikiwa nimebeba mishikaki ( abiria zaidi ya mmoja ) hasa napo kata kona
Shida niniUjinga mwingi