Prime area plot(1961 sqm) with building is available for sale.

Rekoka

Member
Joined
Aug 12, 2015
Posts
22
Reaction score
17
-KIWANJA KIPO MITA KUMI KUTOKA BAGAMOYO ROAD
-KIPO MBUYUNI CORNER-BARABARA YA KWENDA BAHARI BEACH-KUNDUCHI-
MAWASILIANO PIGA 0625 767 348
 
Mkuu tunashukuru kwa Tangazo lako,tuungane kutangaza pamoja,Kiwanja kinapatikana Kimara Korogwe Kina Nyumba Mbili Za Ghorofa umbali wa mita 20 toka Morogoro rd,pia Kimara Temboni zipo Heka Sita,umbali toka Morogoro rd ni mita 27....Nachukua jukumu wewe pia Chukua jukumu hilo kutangaza...
 
Mkuu hizo kimara tembonibheka moja bei gani?
 
mkuu hizo ekari sita bei gani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…