mtanashati halisi
Member
- Jul 29, 2025
- 21
- 8
Kabisa kaka mshindwe nyinyi matajiriChuma cha moto
Mboni Bei ndogo sana? Ongeza bei kidogo nichukue Mali safi hio chifuChuma cha moto
😅😅eeehMboni Bei ndogo sana? Ongeza bei kidogo nichukue Mali safi hio chifu
Ndio Chifu fanya hivyo ongeza bei nichukue mali😅😅eeeh
SawaNdio Chifu fanya hivyo ongeza bei nichukue mali
Mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro maxKabisa kaka mshindwe nyinyi matajiri
Sawa ila Rais muda wako wa kuwa na usafir ndo huu ukitoka madarakani hutopata tena 😅😅😅Mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro max
Nenda pale moroco ziko kampuni nyingi zinakopesha magari ila utatoa kianzio then wao watamaliziaHivi kuna kampuni zinazokopesha magari? Samahani kwa kutoka nje ya mada.