Buyuni iko wilaya ya Ilala, mkoa wa DSM. Ukifika Pugu sekondari unaenda mbele sehemu inaitwa Kajiungeni then you turn left (Huendelei na barabara ya kwenda Kisarawe), ni kama unelekea Chanika on your left. Kuna viwanja vimepimwa na serikali vilikuwa kwenye mradi wa upimaji viwanja, 20,000 plots project,
Kwa hiyo ni plots surveyed and titled, each plot has 600sqm resting on block No. 18.