salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 654
- Thread starter
-
- #21
Tunakujua kwa kutafuna bangi mbichi ndio zako kwanza hiyo pesa utaitoa wapi kama unalalama juu ya milioni tatu si majanga hayo after all si mtu anakuja mwenyewe site anajionea halafu akiona ni wizi si anaacha sasa mpaka hapo mtu kaibiwa nini manake hata fomu yenyewe hajanunua bado ni mpaka achague plot. Vichwa maji kwa kubwabwaja utawajua tuuuuAcha kudanganya watu.... Hata kibada plot ya sq meter 1000, aka robo eka haifiki 20m....
mwizi mkubwa we!!!!
Haya ni mambo ya mikataba kwa mawazo yako wakili anapiga muhuri juu ya karatasi moja kwa bei gani? contract je wakili anaiandika na kuichapa kwa bei gani? secretary wake tu anayechapa hizo documents analipwa zaidi ya pesa hiyo.Ndoto za kipuuzi za utajiri wa haraka zimewafanya madalali wetu kuwa kama fisi kwa tamaa.....
50,000 ya nini?
You are only a fool; am a competent mathematician and an esteemed lerned fellow, kunipigia mathematics ndio pumba gani? wewe umesema fomu laki tano unaulizwa zimeandikwa wapi unapiga about turn unasema ni za nini utakuwa kilaza wa hali ya juu sana usiyejua mambo ya mikataba na business negotiations. Mtu anajaza fomu kuonyesha mambo yote anayohitaji yawe incorporated kwenye contract yake au unafikiri nauza karanga hapa? nauza property aisee na nimekwenda shule sibwabwaji tu unaongelea mambo ya hesabu loop integral unaijua? au differential equation? acha bangi zako bana. Eti oooh kujengea kibanda cha mbwa sasa inakuhusu nini mwenye kuhitaji ndie anajua atatumiaje sio kazi yako kwani vile viwanja vya kariakoo vinavyonunuliwa kwa mabilioni na kujengwa vigorofa vyembamba vinafikia kipimo hiki? bangi zitakuuwa bhanaaa. However, there was an oversight on the price tag, i have rectified and am very sorry for that.
Hiki ndio kilifanya mi nikuone wewe ni mwizi mkuu,halafu unajiita competent mathematician na wakati hata unachokiandika hukijui mkuu ukielezwa unaanza your fool,mkuu hesabu zako zinakusaidia wewe mi hazinisaidi kitu ila unapoleta hoja hapa watu tunaangalia uhalisia wa kitu na sio vinginevyo.pia napenda kukuambia kuwa kijielimu ulichopata ni cha kuunga unga sana inaonekana manaake mda wote unajisifia, kumbuka kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza mkuu.You are only a fool; am a competent mathematician and an esteemed lerned fellow, kunipigia mathematics ndio pumba gani? wewe umesema fomu laki tano unaulizwa zimeandikwa wapi unapiga about turn unasema ni za nini utakuwa kilaza wa hali ya juu sana usiyejua mambo ya mikataba na business negotiations. Mtu anajaza fomu kuonyesha mambo yote anayohitaji yawe incorporated kwenye contract yake au unafikiri nauza karanga hapa? nauza property aisee na nimekwenda shule sibwabwaji tu unaongelea mambo ya hesabu loop integral unaijua? au differential equation? acha bangi zako bana. Eti oooh kujengea kibanda cha mbwa sasa inakuhusu nini mwenye kuhitaji ndie anajua atatumiaje sio kazi yako kwani vile viwanja vya kariakoo vinavyonunuliwa kwa mabilioni na kujengwa vigorofa vyembamba vinafikia kipimo hiki? bangi zitakuuwa bhanaaa. However, there was an oversight on the price tag, i have rectified and am very sorry for that.
Chungulia hapa basi uone ninavyoungaunga elimu yangu.....Home; weHiki ndio kilifanya mi nikuone wewe ni mwizi mkuu,halafu unajiita competent mathematician na wakati hata unachokiandika hukijui mkuu ukielezwa unaanza your fool,mkuu hesabu zako zinakusaidia wewe mi hazinisaidi kitu ila unapoleta hoja hapa watu tunaangalia uhalisia wa kitu na sio vinginevyo.pia napenda kukuambia kuwa kijielimu ulichopata ni cha kuunga unga sana inaonekana manaake mda wote unajisifia, kumbuka kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza mkuu.
Kwa mawazo yako differential equations ni hesabu ya form six na kwa maana hiyo Einstein's equations of relativity ni hesabu ya form six na hizo square root ulizopiga hapo zinakufanya mathematician; nakuulizaje vile viwanja vinavyouzwa kwa mabilioni pale kariakoo vina ukubwa gani? jibu swali manake kama hivi ni vya kufugia mbwa vya kariakoo vitafugia njiwa mbona watu wanajengea magorofa? jibu swali. Halafu sio kila bango umeandikiwa wewe bali anayeona linaweza kumhusu sasa kuingia humu kubwabwaja haieleweki unatafuta nini kama sio uteja unakusumbuakwa hiyo na wewe umeona loop integral na differential equation ndo hesabu ha ha ha ha ha ha, halafu unajiita competent mathematician ha.mi nahisi hizi zilikuwa zinakuzingua ukiwa form six labda na chuo(kama umebahatika kusoma lakini) RUNGE KUTTA maana aisifuye mvua imemnyea mkuu.mimi naelewa huo ukubwa wa 15m ulivyo ndo maana nkakupigia mahesabu na kukujulisha kuwa hapo panatosha kuweka banda la mbwa lakini wewe husikii unajiita mwanamahisabati,sasa hizo hisabati nani aliyekufundisha manaake utapelekea nikuone wewe na mwalimu wako kuwa janga.Pia unaisifia sana hiyo bangi naona ndo inakupelekea uandike mabandiko ya ovyo ovyo.
Hakuna muhuri wa fifty wala fomu ya fifty wala mkataba wa fifty... Tapeli mkbwaweHaya ni mambo ya mikataba kwa mawazo yako wakili anapiga muhuri juu ya karatasi moja kwa bei gani? contract je wakili anaiandika na kuichapa kwa bei gani? secretary wake tu anayechapa hizo documents analipwa zaidi ya pesa hiyo.
Hakuna muhuri wa fifty wala fomu ya fifty wala mkataba wa fifty... Tapeli mkbwawe
we deal with land and plots but not in this silly way
hebu niambie hiyo plot ina approvals zote? Na imeainishwa kwa matumizi gani?
Ukubwa wa viwanja vya kariakoo vinavyouzwa kwa mabilioni na kujengwa vigorofa vyembaaaamba unaujua? unashangaa sqm hizo? after all hamna restriction kwamba lazima u-abide by unit of sale unaweza kununua hata vinne kupata ukubwa unaohitaji kuna ubaya gani? au roho mbaya zinawapofusheni? hilo ni tangazo kwa linayemfaa wewe ukiona ni utapeli kaa kando
wewe! sqm 225 ujenge kigorofa chembamba? acha bangi.
I am beyond your expectations....Bangi zitakuuwa unataka upewe hizo info ukiwa kama nani because it is for interested parties only are you one of them? unatoa mapovu na mali ya mtu inakuhusu? nikinunua gari kwa milioni mbili nikatafuta kuiuza kwa milioni saba mimi ni tapeli? na unaijua vizuri maana ya utapeli au ndo walewale wa shule za kata? kuna utapeli bila kuwepo uongo? uongo hapo ni upi? kwamba bei sio sawa? sawa na nini? kwamba plot hazipo? hapo wanaalikwa watu kufika site na kuchagua kinachowafaa kama mtu hakimfai katapeliwa nini? Kwa taarifa yako mihuri inapigwa hadi kwa laki tatu kutegemeana na gravity ya document kutojua kwako ni sehemu ya ukilaza wako; umejivisha migwanda kuongeza personality kama ishara ya kujijua ni kilaza hamna kitu kichwani.
You are an aggravated f.o.o.l by nature it seems; Hata hivyo wenye akili hadi sasa washalipia plots 22 kwa hii siku moja tu ya jumapili. Ujinga na umasikini ni kitu kibaya sana bei chee kama hiyo sawa na mchango wa harusi ndio unashinda hapa unafoka povu kutwa nzima; kama sio umasikini unaonuka ni kitu gani. Mali si yako, mtu anauza chake kwa maslahi na faida zake wewe unaleta kizogo na bado unajiona una akili timamu? Nakuulizaje nikinunua nyumba milioni kumi nikaiuza miliono 30 inakuwasha nini? nikinunua kiwanja laki tano nikauza milioni tatu inakuhusu? umasikini mpaka rohoni ni majanga ujue.I am beyond your expectations....
Just helping you stupid dude
read to learn and learn to read
Well, full of lies.... 15 kwa 15 plot is a slum, i would be very surprised kama kuna TP iliyokua approved with those measures.... Beyond your imaginationsYou are an aggravated f.o.o.l by nature it seems; Hata hivyo wenye akili hadi sasa washalipia plots 22 kwa hii siku moja tu ya jumapili. Ujinga na umasikini ni kitu kibaya sana bei chee kama hiyo sawa na mchango wa harusi ndio unashinda hapa unafoka povu kutwa nzima; kama sio umasikini unaonuka ni kitu gani. Mali si yako, mtu anauza chake kwa maslahi na faida zake wewe unaleta kizogo na bado unajiona una akili timamu? Nakuulizaje nikinunua nyumba milioni kumi nikaiuza miliono 30 inakuwasha nini? nikinunua kiwanja laki tano nikauza milioni tatu inakuhusu? umasikini mpaka rohoni ni majanga ujue.
Various interpretations can be assigned to the abbreviation TP; on my battle maps it connotes trigonometrical points now in your hypothetical land law statutes it might perhaps mean Too Practical.Well, full of lies.... 15 kwa 15 plot is a slum, i would be very surprised kama kuna TP iliyokua approved with those measures.... Beyond your imaginations
hakuna povu hapa, soma majibu yako ya awali with fake prices za maeneo mengine etc.
just be careful, sheria za ardhi zitakamua sana type yako