Plot nzuri yenye miguu 28/25 inauzwa bunju b iko flat na haina korongo. Maji na umeme vipo. Si mbali kutokea bagamoyo road.
Price ni 5m tu. Ni plot yangu mwenyewe naiuza kutokana na uhitaji mwenyewe nilio nao.
Kwa mawasiliano zaidi
0713507487 / 0767507487