Fafanua: Hicho kiwanja 25m kutoka MOROGORO ROAD maana yake nini?
Je moje sehemu yake ipo eneo linaloitwa "ROAD RESERVE" ya barabara au ni 25m toka ukingo wa road reserve (kwa sheria za SERIKALI KUU).
Watu wengi wanaweza kuwa na interest lakini ufafanuzi ni muhimu, kwani ikitokea kuvunjiwa ni hasara. Pia kina karatasi zipi mf HATI?