chazi piere Senior Member Joined Jun 12, 2016 Posts 132 Reaction score 73 Jun 26, 2017 #1 Location:Kwa mromboo maeneo ya dampo kwa mwenyekiti karibu na check point. Kiwanja kipo kama Mita 20 kutoka barabara inayoelekea check point,umeme na maji vyote vipo karibu. Ukubwa:Mita 17x10 Bei:3,500,000 Contacts 0758293598
Location:Kwa mromboo maeneo ya dampo kwa mwenyekiti karibu na check point. Kiwanja kipo kama Mita 20 kutoka barabara inayoelekea check point,umeme na maji vyote vipo karibu. Ukubwa:Mita 17x10 Bei:3,500,000 Contacts 0758293598
Baba musa333 JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 423 Reaction score 238 Jun 26, 2017 #2 Kula 2cash
chazi piere Senior Member Joined Jun 12, 2016 Posts 132 Reaction score 73 Jun 27, 2017 Thread starter #3 Baba musa333 said: Kula 2cash Click to expand... Hapana mkuu
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 54,823 Reaction score 53,753 Jun 27, 2017 #4 17 kwa 10 bei hiyo hapana, wewe ni dalali ama ndio mwenye mali?
chazi piere Senior Member Joined Jun 12, 2016 Posts 132 Reaction score 73 Jun 27, 2017 Thread starter #5 Mtoto halali na hela said: 17 kwa 10 bei hiyo hapana, wewe ni dalali ama ndio mwenye mali? Click to expand... Mbona sikuelewi ww unajua bei za viwanja arusha au unaongea tu? Mimi ndo mwenye Mali sio dalali?
Mtoto halali na hela said: 17 kwa 10 bei hiyo hapana, wewe ni dalali ama ndio mwenye mali? Click to expand... Mbona sikuelewi ww unajua bei za viwanja arusha au unaongea tu? Mimi ndo mwenye Mali sio dalali?
yorkshire JF-Expert Member Joined Sep 9, 2016 Posts 2,533 Reaction score 3,176 Jun 27, 2017 #6 kwa maeboo halafu kwa mbele
Baba musa333 JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 423 Reaction score 238 Jun 27, 2017 #7 chazi piere said: Hapana mkuu Click to expand... Naongeza laki 2