Plot for sale, Kigamboni Mjimwema

Aisee mgusi,we noma,kwenye magari hadi viwanja.
Hembu ongeza Picha wangu,maana kwenye magari ni Hodari sana wa kutupia picha za maana.

Maana kama ni 40 x 27 ni kikubwa sana.
Na umbali wa Beach kw ausemavyo ni kwamba hata mtoto mdogo anaweza kutembea.
Huko si ndio kule ambapo TWB bank wanatoa viwanja pia?
 
Tatizo serikali yetu 'SIKIVU' ipo kimya kuhusu ule mradi wa mji mpya (mpaka leo hakuna tamko lolote kuhusu mradi wa Kigamboni)sasa wanunuzi wanasita kununua viwanja na wenye viwanja wanasita kuviendeleza,yaani ni shiiiiidaaaaaa.
 
Mjimwema wamiliki wa viwanja wote wameshaoridheshwa wanasubiri kulipwa fidia kabla mradi haujaanza.

Kununua kiwanja maeneo kama hayo ni kujiingiza kwenye mgogoro...
 
Mjimwema wamiliki wa viwanja wote wameshaoridheshwa wanasubiri kulipwa fidia kabla mradi haujaanza.

Kununua kiwanja maeneo kama hayo ni kujiingiza kwenye mgogoro...

Asante kwa kuonyana mkuu. Sasa kwanini huyu mdau atake kutapeli watu? Ila mbona anasema makubaliano ni mpaka ofisi za serikali? Hapo inakueje?
 
Asante kwa kuonyana mkuu. Sasa kwanini huyu mdau atake kutapeli watu? Ila mbona anasema makubaliano ni mpaka ofisi za serikali? Hapo inakueje?

Kuuza hakujakatazwa. Mwenye mali anaruhusiwa kuuza, ila mnunuaji anapaswa kujua kuwa ananunua mgogoro. Hata kesi mtu anaweza kununua akitaka.
 
Kuuza hakujakatazwa. Mwenye mali anaruhusiwa kuuza, ila mnunuaji anapaswa kujua kuwa ananunua mgogoro. Hata kesi mtu anaweza kununua akitaka.

Kuhusu mji mpya taarifa zote zipo ofisi zetu za serikali ya mtaa , na kuhusu utapeli mimi sio tapeli kwani hata ukinunua bado jina lako litawekwa kwenye orodha ya watakaolipwa kama mradi mwengine utakuwepo maana huu uliopo haupo tena kwa kifupi maeelezo yote utayapata hapa ofisini ukija , kwani viwanja vinauzwa na watu wanajenga kama kawaida. na kwa uhakika zaidi waweza kwenda ardhi kupata information zote mimi sio tapeli ndo maana nikasema mauziano yanafanyika ofisini mbele ya mwenyekiti na unapewa hati miliki yako na jina lako linaingizwa kama mmiliki halali wa eneo husika .
 
Tatizo serikali yetu 'SIKIVU' ipo kimya kuhusu ule mradi wa mji mpya (mpaka leo hakuna tamko lolote kuhusu mradi wa Kigamboni)sasa wanunuzi wanasita kununua viwanja na wenye viwanja wanasita kuviendeleza,yaani ni shiiiiidaaaaaa.

Mkuu hili ni tatizo kwa serikali yetu wakishajua wameboronga hawasemi , na bado huku wanajenga sana tu. Kwa kifupi hakuna stop order yoyote ile watu wanajenga na watu wananunua kama kawaida. Ukitaka waweza kuja ofisi za serikali ya mtaa au arthi kupata data zote.
 
Mji mwema ni mradi wao wale jamaa wa escrow
 
Asante kwa kuonyana mkuu. Sasa kwanini huyu mdau atake kutapeli watu? Ila mbona anasema makubaliano ni mpaka ofisi za serikali? Hapo inakueje?

Mkuu mimi sio tapeli waweza kujua ni miaka mingapi sasa tangu waseme mji mpya na wakati raisi wako anakataa hakuna mji mpya. Pia kuhusu swala la kukuingiza mkenge kama nilivyosema hapo juu mteja akinunua jina lake linaingizwa kwenye orodha ya wamiliki halali hata kama itatokea linakuja swala la mji mpya mwengine bado atalipwa kihalali na fidia atapewa kama mmiliki halali wewe unavyosema unaingizwa mkenge hayo ni yako. Tatizo lenu hamfanyi research sehemu usika. Nenda ardhi , ofisi za serikali ya mitaa, na kwa wananchi hapo ndo utapata jibu kuwa kweli watu wamekatazwa kujenga na kununua jibu hakuna mwanachi aliyekatazwa kuuza wala kununua au kujenga . Na kama wamekataza niambie kwa stop order ipi na imetangazwa lini na kupitia wapi..?? Pia kumbuka hata hapo unapoishi leo serikali inaweza kuja na kusema ni eneo la biashara au mumpishe muwekezaji all in all upewe haki yako na fidia kihalali basi.
 

Sidhani kama kuna mtu aliyesema wewe ni tapeli ila tu tunawajulisha wanunuzi kuwa eneo la mjimwema hatma yake bado haijulikani na wamiliki wameshaorodheshwa, kwahiyo mnunuzi ajue kuwa kuna swala la kufuatilia kwenye hiyo orodha ya wamiliki. Its not as easy kama unavyosema kwa sababu orodha iko mpaka wizarani na kuifanyia marekebisho sio zoezi dogo.
 
Ni kweli Mgusi,Mji mwema yaani watau wanajenga utafiria ndio wameambiwa waanze kujenga.
na Stop order hakuna,ila wale wajanja wanajenga nyumba za bei mbaya ili ikifikia kulipwa wanakula pesa ya maana kweli.
Ngoja na mie nije niweke Banda langu la uzushi
 
Tangu lini Serikali ya mtaa wanatoa Hati miliki ya Ardhi.............?Ogopa sana vyeo vinavyopatikana kisiasa...................
 



Ni vigumu kuamini hiyo bei.
Ukubwa 40x27=1080sqm.

Tsh 14,000,000/1080=12,963ts= kwa kila square meter.

Tibaijuka katangaza kila square mita atatoa 35,000tsh hiyo tofauti ni kubwa sana hata kama muuzaji ana njaa

Mnunuzi anatakiwa kuwa makini na uhalisia wa hiyo Mali.

 

Ni kweli kiongozi na kumbuka kuwa bado kuna fidia hapo ambayo wananchi inabidi waidai serikali maana wananchi wamepata hasara kubwa sana. Juu ya huu mchakato. Na pia anaeuza huwezi juwa kapata tatizo gani maana kusubiria mji mpya paka lini ulipwe na wengine viwanja vyao ni vya urithi wa babu zao hivyo hawana uwezo wa kuviendeleza inabidi waviuze na hawana vitega uchumi wamesubiri wa$echoka kulipwa hizo pesa za mji mpya hata ungekuwa ni wewe ungefanyaje ...?? Fikilia hapo kwanza .
 
Tangu lini Serikali ya mtaa wanatoa Hati miliki ya Ardhi.............?Ogopa sana vyeo vinavyopatikana kisiasa...................

Mimi ninamaanisha kuwa wao wanatoa uhalali wa wewe kutambulika kama mmoja wa wamiliki wa eneo husika hivyo hata kama ikitokea kuna mradi unatambulika .pia wewe ni kwenda kufuatilia hati miliki ardhi hata ikitokea wakati wa kulipwa ulipwe hela nzuri .
 
bonde hilo, huyo mnunuzi labda afanye kilimo cha mpunga

Wajinga na maskini kama wewe utabaki hivyohivyo wenye akili na wanaojua uchungu wa nchi yao na haki yao watanunua na wamenunua maeneo mengi tu. Tena hao wafanyakazi wa ardhi wenyewe wananunua sana tu na wanajenga maana wanajua kuna faida mbeleni. Wewe usiyekuwa na akili utabakia majungu tu .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…