SaintEstateAgents
Member
- Mar 25, 2021
- 42
- 12
Kama utaendelea kuwa na tabia hii, basi siku moja Mwenyezi Mungu atakupokonya vyote alivyokupa .. AminiNkuhakikishia asilimia mia kwa mia hupati mnunuzi hata kwa milioni 20
Una tamaa wewe. Sijui unaishi dunia gani hadi uje na bei kama hiyoKama utaendelea kuwa na tabia hii, basi siku moja Mwenyezi Mungu atakupokonya vyote alivyokupa .. Amini
Huo uhakika umeutoa wapi? Milioni 38 kwa Mbweni mbona ni kama laki 2 Buza kwa Mpalange...Nkuhakikishia asilimia mia kwa mia hupati mnunuzi hata kwa milioni 20
No research No right to speekUna tamaa wewe. Sijui unaishi dunia gani hadi uje na bei kama hiyo
Unapafahamu mbweni?Nkuhakikishia asilimia mia kwa mia hupati mnunuzi hata kwa milioni 20
Sio kosa lake, hapajui mbweni. Yupo huko sintimbi. Mimi nilikataliwa kiwanja mbweni kwa 25milKama utaendelea kuwa na tabia hii, basi siku moja Mwenyezi Mungu atakupokonya vyote alivyokupa .. Amini
Naishi Mbweni fala weweUnapafahamu mbweni?