Yaani high density kwa million 20,000,000? Vipimo vipo hivi kwa viwanza vya makazi sq 300-600 high density (ukikohoa jirani anasikia), sq 601 -1200 (medium density) good, and sq 1201-onwards low density -excellent though wengine walionunua mashamba yao na kuamua kuyapima viwanza basi eneo la nyumba ni spacious over an acre!!! Sasa Mkuu hiyo hela mbona kubwa sana? Hata kama ina tittle but mhhhhh!!! Ngoja wenye nazo waje wakutafute.