Pikipiki inauzwa

bbenedict

Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
91
Reaction score
7
Bei 1.5M,call 0783145116 or 0756597108 if intrested,serious buyers ONLY please.Asanteni.Ni HONDA ACE CB125-D
 
Please twambie aina ya pikipiki na na ina cc ngapi kabla hatujapiga simu.

Tiba
 
Boxer hiyo,,naskia hairuhusiwi kuingia nayo mjini hiyo sijui kweli au ndo maneno ya watu..
lazkini ni nzuri sn
 
Attention to details ni kipaji,huoni attachment inasoma HONDA.si wote wamejaliwa kipaji hicho si kosa lako bali la aliyekuumba.

Eh, Makubwa! biashara nayo ni kipaji kumbe, maana majibu ya namna hiyo hayafai kwa mteja!
 
Eh, Makubwa! biashara nayo ni kipaji kumbe, maana majibu ya namna hiyo hayafai kwa mteja!
mpita njia tu wewe na wala si mnunuaji,tambaaaaa....hapakuhusu hapa na wala hujaelewa ujumbe huu.
 
Eh, Makubwa! biashara nayo ni kipaji kumbe, maana majibu ya namna hiyo hayafai kwa mteja!
Wateja na wapita njia wanaeleka katika hii nyuzi@ CYBERTEQ ni mmoja wapo,pita kushoto na waachie serious buyers ONLY.
 
Mkuu ina muda gani barabarani? Au imesajiliwa lini tuambie namba yake tuone.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…