K kenkule Member Joined Dec 1, 2017 Posts 38 Reaction score 30 Apr 4, 2018 #1 Pikipiki inauzwa Location: mwanza Aina: sunlg 125 Bei : 1M Nipm kwa maelezo zaid.
kilambimkwidu JF-Expert Member Joined Jul 21, 2017 Posts 6,205 Reaction score 7,358 Apr 4, 2018 #2 Hizi pikipiki watu wa mwanza mnazipendea nini lkn?? Mkuu hauna boxer tufanye biashara?
Massa JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 709 Reaction score 887 Apr 4, 2018 #3 Sehemu gani mkuu au nipe namba yako pm tafadhari. Sehemu gani mwanza nilimaanisha
Doubleg Malafyale JF-Expert Member Joined Feb 17, 2017 Posts 3,088 Reaction score 4,094 Apr 4, 2018 #4 kilambimkwidu said: Hizi pikipiki watu wa mwanza mnazipendea nini lkn?? Mkuu hauna boxer tufanye biashara? Click to expand... Nadhani kubebea mizigo na urahisi wa spea wana dai hivyo
kilambimkwidu said: Hizi pikipiki watu wa mwanza mnazipendea nini lkn?? Mkuu hauna boxer tufanye biashara? Click to expand... Nadhani kubebea mizigo na urahisi wa spea wana dai hivyo
kilambimkwidu JF-Expert Member Joined Jul 21, 2017 Posts 6,205 Reaction score 7,358 Apr 4, 2018 #5 Doubleg Mwamasangula said: Nadhani kubebea mizigo na urahisi wa spea wana dai hivyo Click to expand... Yeah, kwa mizigo inafaa sana hii. Ila kwa misele ya hapa na pale boxer ndo mahala pake
Doubleg Mwamasangula said: Nadhani kubebea mizigo na urahisi wa spea wana dai hivyo Click to expand... Yeah, kwa mizigo inafaa sana hii. Ila kwa misele ya hapa na pale boxer ndo mahala pake
Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 15,117 Reaction score 16,500 Apr 4, 2018 #6 Made in Hu Ha