Piki piki used Inauzwa
Aina: Hero Dawn, cc 100
Mzalishaji: India
Bei: Tsh 1,200,000
Mahali: Dar es Salaam
Inatembea na iko katika hali nzuri, Ilikuwa ikitumika kuendea kazini na kurudi na Haina tatizo lolote.
Karibuni
Picha hizo hzo chini
Sent using
Jamii Forums mobile app